TwitterPinterest Facebook Emailyoutube

Friday 27 May 2016

0

JOSE MOURINHO KOCHA MPYA MANCHESTER UNITED

Kocha "msema hovyo" Jose Mourinho ameteuliwa kuwa kocha mpya wa mashetani wekundu akiacha mabishano mengi kati ya wadau tofauti tofauti watimu hiyo wengine wakimsapoti kwamba ataweza kurudisha hadhi ya timu hiyo wakati wengi wakimpinga kutokana na falsafa zake za kujilinda hivyo kuharibu soka la kuvutia la timu hiyo
uteuzi wa Mourinho unaongeza utamu wa vita ya msimu ujao kati ya makocha bora waliojiunga na timu mbali mbali za ligi ya uingereza wakiwemo Pep Guardiola (Manchester city),Jurgen Klopp (Liverpool) na Antonio Conte (Chelsea).

0 comments: