TwitterPinterest Facebook Emailyoutube

Monday 2 May 2016

0

LEICESTER CITY BINGWA UINGEREZA

Matokeo ya sare ya 2-2 kwenye mechi baina ya Chelsea na Totenham hotspurs yamekua ya faida kubwa na kutengeneza historia ya ajabu katika soka la Uingereza baada ya Leicester City kuwa bingwa ikiwa ni msimu wa pili tu toka ipande daraja.Hongera sana Leicester.

0 comments: