ADELE AONGOZA MAUZO YA ALBAMU 2015
Mauzo ya 'tsunami' ya albamu ya Adele iitwayo 25 imempa nafasi ya kua albamu yenye mauzo ya juu zaidi kwa mwaka 2015,hii ni kwa niaba ya Nielsen Music.
Top 5 ya Albamu hizo ni kama ifuatavyo;
Musician Albam Copies
1.Adele 25 8,008,000
2.Taylor Swift 1989 3,105,000
3.Justin Bieber Purpose 2,225,000
4.Ed Sheeran X 2,206,000
5.The weekend Beauty behind madness 2,045,000
0 comments:
Post a Comment