
Chelsea wamethibitisha kua hawatampa mkataba mpya nahodha wake John Terry mwenye miaka 35.Hiyo itafungua milango kwa mwingereza kwenda kucheza soka Marekani ambapo tetesi zilizopo ni kwamba timu kadhaa za ligi hyo zinafatilia sahihi yake pia kukiwa na habari za Terry kupewa nafasi ya uongozi katika klabu yake ya Chelsea.
0 comments:
Post a Comment