TwitterPinterest Facebook Emailyoutube

Sunday, 31 January 2016

0

CHRISS BROWN AKANUSHA TUHUMA ZA KUA CHANZO CHA MWANAWE KUPATA ASTHMA

Nguli wa muziki nchini marekani Chriss Brown amekanusha tuhuma za mzazi mwenzake Nia Guzman kwamba tabia yake ya kuvuta sigara na bangi imepelekea mtoto wao Royalty kupata asthma akiziita tuhuma hizo upuuzi na janja ya Guzman kupata pesa zaidi kutoka kwako. Guzman alimwambia jaji CB anatakiwa kuongeza pesa,kuajiri yaya wa muda wote na pia kufanyiwa vipimo vya mara kwa mara kuhusu matumizi ya sigara na bangi na pia kumzuia CB kumtembelea Royalty mara kwa mara.

0 comments: