
Baada ya kuvunja rekodi ya mauzo mkali wa muziki Adele kupitia nyimbo ya hello amevunja rekodi ya kufikisha watazamaji bilioni moja kwa muda mfupi zaid (siku 87) ukivunja rekodi ya Psy aliefikisha watazamaji bilioni moja ndani ya siku 158.Pia amevunja rekodi ya kutazamwa mara millioni 24 ndani ya masaa 24.
0 comments:
Post a Comment