MUME WA CELINE DION AFARIKI
Mume wa mwanamuziki nguli wa nyimbo za taratibu Celine Dion,Rene Angelil amefariki dunia baada ya vita ya muda mrefu dhidi ya kansa ya koo iliokua ikimsumbua.Pamoja ya kua mume pia Rene alikua meneja wa mwanamuziki huyo na walifunga ndoa mwaka 1994 wakijaaliwa watoto watatu na mwaka 2000 ndio Rene aligundulika kua na kansa ya koo.
0 comments:
Post a Comment