TwitterPinterest Facebook Emailyoutube

Monday, 11 January 2016

2

NI MESSI,RONALDO AU NEYMAR?

Tuzo zenye heshima kubwa zaidi duniani katika soka maarufu kama Balon d'or znatolewa mjini zurich mapema usiku huu kabisa na wakali wa soka Lionel Messi na Neymar kutoka Barcelona watapambana na nyota wa Ureno na klabu ya Real Mdrid Christiano Ronaldo.We unampa nani bashiri yako?,Tusubiri tuone

2 comments:

Unknown said...
This comment has been removed by the author.
Anonymous said...

messi