TwitterPinterest Facebook Emailyoutube

Saturday, 30 January 2016

0

SAMATHA SASA RASMI KRC GENK YA UBELGIJI

Nahodha wa timu ya taifa ya Tanzania Mbwana Ally Samatha amesaini rasmi mkataba wa miaka minne na nusu na tayari keshatambulishwa rasmi kama mchezaji wa Krc Genk ya Ubelgiji. Kila la heri Mbwana.

0 comments: