TwitterPinterest Facebook Emailyoutube

Thursday, 7 January 2016

0

SAMATHAAAAAAAAAAAAAAAAAA

Mwanasoka wa kulipwa wa Tanzania Mbwana Ally Samatha ameshinda tuzo ya mwanasoka bora wa Afrika wanaocheza soka ndani ya bara la Africa,wakati kwa tuzo ya mwanasoka bora wa Afrika kwa ujumla ikienda kwa Neymar wa Gabon,Piere Emerick Aubmeyang akiwashinda Yaya Toure na Andrew Dede Ayew
Hongera sana Samataaaaaaaaaa

0 comments: