TwitterPinterest Facebook Emailyoutube

Wednesday, 20 January 2016

0

SAUTI YA WEUSI KUBAGULIWA OSCAR 2016 YAZIDI KUSHIKA KASI

Mwanzo yalikua malalamiko ya watu chache lakini sasa malalamiko yanaongezeka na wakali wengine wa filamu George Clooney,Lupita Nyong'o na director Spike Lee wametoam ya moyoni na kupinga mapendekezo ya watu weupe tu katika tuzo za Oscar 2016. Jada Pinket Smith alihamasisha kususiwa kwa tuzo hizi akisema nguvu kubwa ya watu wa rangi (Wasio wazungu) imepuuzwa na kuchukuliwa kama ni ndogo na waandaaji wa tuzo hizo zenye heshima katika filamu

0 comments: