TwitterPinterest Facebook Emailyoutube

Saturday, 30 January 2016

0

SERENA APOTEZA FAINALI AUSTRALIAN OPEN

Mcheza tenisi namba sita kwa ubora duniani Angelique kerber wa Ujerumani ameshinda mchezo wa fainali ya michuano ya tenisi ya Australia open dhidi ya mchezaji namba moja duniani kwa sasa,Serena Williams na Serena akijitetea kwamba yeye sio robot hivyo haiwezekani kushinda michezo yote.

0 comments: