TwitterPinterest Facebook Emailyoutube

Wednesday, 13 January 2016

0

SIMBA YAACHANA NA KERR

Kocha mzungu wa simba Dylan Kerr ameonyeshwa mlango wa kutokea kutokana na matokeo yasiyo ya kuridhisha kwa kipindi cha miezi sita aliokaa kwenye timu hiyo hasa baada ya kufungwa bao 1-0 na wakata miwa Mtibwa sugar katika kombe la mapinduzi.

0 comments: