CHRISS BROWN AMUOMBA MSAMAHA EX WAKE KWENYE WIMBO YAKE MPYA
Mkali anaefanya vizuri sana kwa muda mrefu sasa kwenye industry ya muziki Chriss brown kaonesha wazi kwamba kashindwa kumsahau Ex wake Karrueche na kwenye wimbo mpya aliowashirikisha Usher na Zayn malik (member wa zamani wa one direction) uitwao "back to sleep remix" CB kamtaja Karueche na kueleza kwamba amemmis kwa kipindi cha mwaka mzima ambacho wamekua hawawasiliani
Karueche aliachana na Chriss Brown kutokana na star huyo kuwa na wanawake wengine hadi kupelekea kupata mtoto nje ya mahusiano yao.download wimbo na usikilize huo
Karueche aliachana na Chriss Brown kutokana na star huyo kuwa na wanawake wengine hadi kupelekea kupata mtoto nje ya mahusiano yao.download wimbo na usikilize huo
0 comments:
Post a Comment