TwitterPinterest Facebook Emailyoutube

Saturday, 6 February 2016

0

JARMIE VARDY ASAINI MKATABA MPYA LEICESTER CITY

Mshambuliaji hatari zaidi ligi ya Uingereza kwa sasa Jarmie Vardy amesaini mkataba mpya kuiutumia timu hiyo maarufu kama the Foxes mpaka 2019 hivo kupunguza uvumi wa mchezaji huyo kuhama.

0 comments: