TwitterPinterest Facebook Emailyoutube

Thursday, 11 February 2016

0

KANYE WEST ABADILI JINA LA ALBAMU TENA,ATOA LISTI YA NYIMBO ZILIZOMO

Rapper Kanye west ameendelea klua kinyonga na kubadili jina la albamu mara ya nne kutoka "so help me God" kisha"swish" baadaye ikaitwa "waves" m,paka sasa inaitwa T.L.O.P The life of Pablo na inatioka leo february 11 na pia listi ya ngoma zitazokuwemo humo .

0 comments: