KIVUKO CHAZUA KIZAA ZAA KIGAMBONI
Kivuko cha mv kigamboni kimezua kizaa zaa na watu kujitupa majini kuokoa maisha yao baada ya kupoteza muelekeo sababu ya kujaza kupita kiasi hvo watu kujitupa majini na jambo la kushangaza ni wananchi kuwa bize na kupiga picha na sio kusaidia watanzania wenzao,Hakuna kifo wala majeruhi yaliyoripotiwa mpaka sasa.
0 comments:
Post a Comment