TwitterPinterest Facebook Emailyoutube

Thursday, 25 February 2016

0

LIVERPOOL,TOTENHAM NA MANCHESTER UNITED WAPENYA "EUROPA LEAGUE LAST 16"

Timu vigogo katika ligi ya uingereza Liverpool,manchester united na Totenham vimepata nafasi kushiriki hatua ya kumi na sita bota katika ligi ya Europa baada ya kushinda michezo yao Liverpool ikiwafunga Augsburg 1-0,Totenham ikiwafunga Fiorentina 3-0 na Manchester United ikiiua Midtyjland 5-1.
Timu zilizopata nafasi 16 bora ni
1.Anderlecht (BEL
2Athletic Club (ESP) 
3Basel (SUI)
4Braga (POR)
5Dortmund (GER)
6Fenerbahçe (TUR)
7Lazio (ITA)
8Leverkusen (GER)
9Liverpool (ENG)
10Manchester United (ENG)
11Sevilla (ESP)
12Shakhtar Donetsk (UKR)
13Sparta Praha (CZE)
14Tottenham (ENG)
15Valencia (ESP)
16 Villarreal (ESP)

0 comments: