
Mwigizaji nguli hapa nchini Vincent Kigosi maarufu kama Ray amegeuka mada kuu katika mitandao ya kijamii na vyombo vya habari baada ya kusema kwamba kilichofanya awe mweupe sio mkorogo bali ni majikwa wingi na mazoezi.Aliyasema hayo wakati akihojiwa na kipindi cha E news cha EATV na kuzua mishangao kwa makundi mbali mbali ya watu ambapo wengine wamemkejeli kwa kuanzisha kampeni za kunywa maji uwe mweupe.
0 comments:
Post a Comment