TwitterPinterest Facebook Emailyoutube

Tuesday, 23 February 2016

0

MESSI AIUA TENA ARSENAL EMIRATES

Lionel Messi ameimaliza tena Arsenal kwenye uwanja wao wa nyumbani wa Emirates baada ya kuwafunga mabao 2-0 katika mchezo wa kwanza wa klabu bingwa ulaya kati ya Barcelona dhidi ya Arsenal,hivo kuivunja rekodi ya kipa wa Arsenal Peter cech kutofungwa na mchezaji huyo bora wa dunia katika mechi kadhaa walizokutana.

0 comments: