TwitterPinterest Facebook Emailyoutube

Tuesday, 2 February 2016

0

ROC NATION WAMFIKISHA RITA ORA MAHAKAMANI

Empire ya Roc nation inayomilikiwa na Jay z imemfikisha mahakamani hit makier wa nyimbo ya "body on me" Rita ora wakidai mrembo huyo kavuja makubaliano ya albamu tano walizokubaliana Rita azitengeneze ndani ya Roc nation ila badala yake katengeneza moja tu mpaka sasa na kuwapa hasara ya dola milioni 2.3 waliyoitumia kwenye promo ya Rita Ora.

0 comments: