TwitterPinterest Facebook Emailyoutube

Wednesday, 10 February 2016

0

VIDEO MPYA YA DIAMOND PLATNUMZ AKIMSHIRIKISHA A.K.A KUTOKA IJUMAA

Tayari imekua wazi kwamba wimbo unaofuata kutoka kwa Diamond platnumz unaitwa "make me sing" akishirikishwa rapper anayefanya vizuri sana kutoka Africa kusini A.K.A na video yake itakua exclussive katika
MTV base.

0 comments: