TwitterPinterest Facebook Emailyoutube

Wednesday, 17 February 2016

0

WEMA ATHIBITISHA MIMBA YAKE KUTOKA

Madame na C.E.O wan endless fame Wema sepetu kathibitisha kwamba mimba yake imeharibika.Mimba hiyo iliyokua na maswali mengi sana kutoka kwa wadau wa burudani wengine wakisema ni njia ya kujiongezea umaarufu na wengine wakimsapoti wakiamini yupo tayari kuwa mama
 Aliandika hivi kwenye ukurasa wake wa instagram

Ni kweli. Na imeniuma sana lakini nimefika kwenye hatua maishani mwangu naweza kusema Alhamdulillah for everything.

Alhamdulillah kwa wote wanaojua uchungu nilionao na wameonyesha moyo wa kibinadamu. Nawashukuru kwa upendo wenu, MNANIPA NGUVU.

Alhamdulillah kwa wote wanaojua uchungu nilionao na wamefurahia kwasababu zao binafsi. Nawashukuru kwa uwepo wenu, MNANIPA UJASIRI.

Alhamdulillah kwa siku ya kesho. Ilimradi nina pumzi, SITACHOKA KUJARIBU TENA.

Hata ukikosa, ukakosa, ukokosa eeeeeeh...sema ASANTE, KWELI YEYE NI MUNGU.

Alhamdulillah for EVERYTHING! 🙏

0 comments: