TwitterPinterest Facebook Emailyoutube

Thursday, 24 March 2016

0

ADAM JOHSON JELA MIAKA 6

Winga mahiri wa timu ya sundeland na timu ya taifa ya Uingereza Adam Johson amehukumiwa kwenda jela miaka sita kwa kosa la kujihusisha kimapenzi na binti mwenye umri wamiaka 15 ambae kwa sheria za nchi hiyo anachukuliwa kama mtoto asiewezakufanya maamuzi binafsi.

0 comments: