AY SASA RASMI CHINI YA MENEJA WA DIAMOND PLATNUMZ
Meneja wa Diamond platnumz Salam Sharaff au maarufu kama "mendes" amejitanua zaidi na kwa sasa atakua akisimamia pia kazi za msanii mkongwe nchini AY.Hiyo kaiandika katika page yake ya instagram na msanii AY naye kapost habari ya kuthibitisha kwamba Salam ni meneja wake
Kila la kheri AY
0 comments:
Post a Comment