DIAMOND PLATNUMZ KAKUTANA NA KANYE WEST,NINI KINAFATA?
Mwanamuziki namba moja wa bongo fleva Diamond platnumz katua Los Angeles Marekani na kukutana na Kanye west ambae kwa sasa anatamba na albamu yake ya T.L.O.P (The life of pablo) je nini kinafata?
Wengi tunafahamu vyema jinsi Diamond Platnumz anavojua kuzitumia fursa anazopata so iko wazi kwamba kuna kitu jikoni,tusubiri na Mungu aibariki Tanzania.
0 comments:
Post a Comment