LIVERPOOL 'YAIUA' MANCHESTER UNITED,DE GEA AMFICHIA AIBU VAN GAAL

Golikipa wa United,David de Gea ndiye aliyekua 'man of the match' kwa kuokoa magoli ya wazi ambayo yangefanya united wapate aibu ya mwaka akizuia kwenye mstari shuti la phillipe coutinho,kisha kuwazuia Daniel Sturridge na Adam Lallana.
matokeo ya mechi nyingine
Dortmund 3-0 Totenham
Ath bilbao 1-0 Valencia
Basel 0-0 sevila
Fernabache 1-0 braga
shak donestk 3-1 Anderlecht
Prague 1-1 Lazio
Vilareal 2-0 Bayer Leverkusen
0 comments:
Post a Comment