TwitterPinterest Facebook Emailyoutube

Tuesday, 8 March 2016

0

P SQUARE NDIO BASI TENA?

Kaka mapacha Peter na Paul Okoye ambao kwa pamoja waliunda kundi la P Square wanazidi kuacha sintofahamu nyingi kwamba pengine kundi limevunjika na hii ni baada ya Peter kuachia wimbo binafsi Uitwao Look into my eyes kama solo project,usikize wimbo hapa


0 comments: