TwitterPinterest Facebook Emailyoutube

Friday, 11 March 2016

0

RAFAEL BENITEZ KOCHA MPYA NEWCASTLE UNITED

Kocha wa zamani wa Liverpool,Chelsea,Inter milan na Real madrid muhispaniola Rafael Benitez ametangazwa rasmi kuwa kocha wa Newcastle united akisaini mkataba wa nmiaka mitatu na kukiwa na kipengele cha kuitoa timu hiyo kwenye hatari ya kushuka daraja.

0 comments: