TwitterPinterest Facebook Emailyoutube

Saturday, 9 April 2016

0

NDANDA KOSOVO AFARIKI DUNIA

Msanii nguli wa muziki wa dansi nchini Tanzania Ndanda Kosovo amefariki dunia leo katika hospitali ya taifa ya muhimbili kutokana na maradhi ya vidonda vya tumbo vilivyokua vikimsumbua .
Mungu amlaze pema peponi.

0 comments: