
Wababe wa santiago bernabeu Real madrid jana usiku wameizamisha Barcelonakwenye uwanja wa Camp nou kwa jumla ya mabao 2-1 na mshambuliaji nyota wa Madrid Christiano Ronaldo akipigilia msumari wa mwisho kwenye jenezala wababe hao wa ulaya.Magoli mengine yalifungwa na Gerrard Pique (Barcelona) kisha KarimBenzemaakasawazisha na Ronaldo akafunga baola ushindi.
0 comments:
Post a Comment