TwitterPinterest Facebook Emailyoutube

Monday, 28 December 2015

0

HATMA YA VAN GAAL MIKONONI MWA CHELSEA

d
Louis Van Gaal
Uwezekano wa kocha wa Manchester United kuendelea kuwepo kundini katika timu hiyo ya wababe wa manchester inategemeana na matokeo ya mechi ya leo dhidi ya chelsea na matokeo mabaya yataongeza nguvu ya uvumi wa Jose Mourinho kuchukua mikoba kuwanoa The red devils.

0 comments: