
Albamu yenye jina la 25 ya Adele haikamatiki kabisa,ikiwa na jumla ya
mauzo ya kopi milioni 7.13 kwa wiki tatu pekee iliokaa sokoni,wiki ya
kwanza kauza kopi millioni 3.38,wiki ya pili kopi millioni 1.11 na wiki
ya tatu ilioisha tarehe 24 december kapiga kopi 1.15 na zaidi,pia
aking'ang'ania namba moja kwa wiki ya tano katika chati zinazoheshimika
za billiboard.
0 comments:
Post a Comment