TwitterPinterest Facebook Emailyoutube

Tuesday, 29 December 2015

0

HARUNA NIYONZIMA 'FABREGAS' ATIMULIWA YANGA

Kiungo wa kinyarwanda mwenye kipaji maridhawa Haruna Niyonzima Fabregas katimuliwa rasmi na uongozi wa mabingw
a wa Tanzania bara Yanga kwa sababu za utovu wa nidhamu wa muda mrefu.

0 comments: