TwitterPinterest Facebook Emailyoutube

Sunday, 3 January 2016

0

ALIKIBA AONGOZA KWA DOWNLOADS MKITO.COM

Msanii mwenye kipaji cha hali ya juu Alikiba ameeongoza katika idadi ya downloads kupitia wimbo wa cheketua kwa kufikisha downloads 47,000 akifuatiwa na Ney wa mitego ft Diamond platnamz wimbo wa  mapenzi au pesa ,
Kwa upande wa hiphop Weusi wametawala wakiwa na nyimbo nne kati ya tano zilizoongoza na kwa upande wa injili namba moja ni ipo siku ya producer wa muziki kutoka mwanza,Lollipop.






chat halisi iko hvi.
Top 5 Bongo Fleva
1. Alikiba – Chekecha Cheketua
2. Ney wa Mitego  & Diamond – Mapenzi au Pesa
3. Alikiba & Christian Bella – Nagharamia
4. Mo Music – Nitazoea
5. Ruby – Na yule
Top 5 HipHop
1. Safari – Nikki wa pili Feat. Joh Makini, Gnako, Nahreel,Jux, Vanessa Mdee & Aika
2. Viza – Navy Kenzo
3. Baba swalehe – Nikki wa Pilli
4. Don’t Bother – Joh Makini Feat. Aka
5. Nusu Nusu – Joh Makini




0 comments: