TwitterPinterest Facebook Emailyoutube

Tuesday, 26 January 2016

1

ADEBAYOR AJIUNGA NA CRYSTAL PALACE

Mshambuliaji wa zamani wa timu za Arsenal,Manchester city na Totenham pia timu ya taifa ya Togo Emmanuel Adebayor amejiunga na timu ya Crystal palace kwa mkopo mpaka mwisho wa msimu.

1 comments:

SHABANI MGOGO said...

piga soka fundi wangu