TwitterPinterest Facebook Emailyoutube

Tuesday, 26 January 2016

0

KANYE ABADILISHA JINA LA ALBAMU

Mkali wa Hip hop toka USA Kanye West amebadilisha kwa mara nyingine jina la albamu yake mpya na kusema haitakua albamu ya mwaka tena bali albamu ya maisha.Mwanzo iliitwa So help me God ikabadilishwa na kuitwa Swish na sasa jina jipya albamu hio itaitwa Waves.

0 comments: