TwitterPinterest Facebook Emailyoutube

Saturday, 30 January 2016

0

CHELSEA WAMSAJILI ALEXANDER PATO

Timu ya Chelsea imekamilisha usajili wa mshambulia nyota wa brazili na mchezaji wa zamani wa Ac milan Alexander Pato kwa mkopo mpaka mwisho wa msimu kutoka timu ya Corinthias ya Brazili wakiwa na kipengele cha kumnunua mkopo ukimalizika.

0 comments: