TwitterPinterest Facebook Emailyoutube

Saturday, 30 January 2016

0

DIAMOND ACHUKUA TUZO NYINGINE KENYA

Mwanamuziki wa bongo fleva Diamond Platnumz ameshinda tuzo ya mwanamuziki wa mwaka Tanzania katika tuzo za Bingwa music awards zilizofanyika Kenya,kwa kenya mwanamuziki bora wa mwaka ni The Kansoul na kwa upande wa Uganda ni Cindy Sanyu wakati kwa Afrika mashariki mwanamuziki bora wa mwaka ni kundi
Sauti sol

0 comments: