TwitterPinterest Facebook Emailyoutube

Friday, 29 January 2016

0

SERENA AINGIA FAINALI AUSTRALIAN OPEN

Mcheza tenisi namba moja ulimwenguni upande wa wanawake amezidi kuwaonyesha sababu hasa ya kushika namba hyo kwa muda mrefu baada ya kumshinda Agnieszka Radwanska kwa seti 6-4 na 6-0 na atakutana na Angelique Kerber
katika fainali ya michuano hiyo.

0 comments: