TwitterPinterest Facebook Emailyoutube

Friday, 29 January 2016

0

ROSE NDAUKA AZINDUA MAGAZINE YAKE

Mwaka 2016 umeanza kua mzuri mapema kwa mmoja kati ya wadada wanaofanya vizuri zaidi bongo movie,Rose Ndauka amezindua magazine yake inayoitwa "Rozzie magazine" na kuihamisha kutoka online ilikokua inapatikana mwanza mpaka katika nakala ya karatasi (hard copy)
Hongera sana Rose.

0 comments: