TwitterPinterest Facebook Emailyoutube

Tuesday, 5 January 2016

0

HARMONIZE ACHORA TATOO YA DIAMOND PLATNUMZ

Mkali wa nyimbo ya Aiyola ameiweka wazi picha ya tatoo yenye picha ya Diamond na maneno Simba kama ishara ya kumkubali na kumshukuru bosi wake huyo kutoka WCB kwa kumuamini na kumpa nafasi kwenye lebel hiyo.

0 comments: