TwitterPinterest Facebook Emailyoutube

Tuesday, 5 January 2016

0

RAFAEL BENITEZ ATIMULIWA REAL MADRID

Lile lililokua linategemewa na wengi mwishowe limetimia na kocha huyo wa zamani wa Liverpool na Valencia ametupiwa vilago huku nafasi yake akipewa 'Legend' Zinedine Zidane ambae alikua akiifundisha team ya vijana ya timu hiyo,La Castila.

0 comments: