TwitterPinterest Facebook Emailyoutube

Wednesday, 27 January 2016

0

LIVERPOOL KUWAVAA MANCHESTER CITY FAINAL CAPITAL ONE CUP 2016

Baada ya ushindi wa mikwaju ya penalti dhidi ya timu ngumu ya Stoke city majogoo wa jiji Liverpool fc sasa watapambana dhidi ya matajiri Manchester city katika fainali ya kombe la ligi maarufu kama capital one cup itayofanyika feb 28,2016 katika dimba la Wembley.

0 comments: