TwitterPinterest Facebook Emailyoutube

Friday, 29 January 2016

0

DIAMOND AMTAKIA MAISHA MEMA MPENZI WAKE WEMA KIROHO SAFI

Hii imepokelewa kwa hisia tofauti pale raisi wa wasafi Diamond Plutnumz alipotoa baraka zake kwa mpenzi wa Ex wake Wema Sepetu,mshindi wa big brother Idris Sultan katika siku yake ya kuzaliwa alipopost katika page yake ya instagram.Diamond aliandika ujumbe ufuatao ambao alisifiwa na mashabiki wengi.






18.9k likes

0 comments: