TwitterPinterest Facebook Emailyoutube

Friday, 29 January 2016

0

SASA NI RASMI DAVIDO ASAINI SONY MUSIC

Mwanamuziki Davido na kampuni kubwa la muziki ulimwenguni Sony Music wametia saini makubaliano ya kusimamia kazi za mwanamuziki huyo.Davido alisema ''muziki ni lugha ni lugha pana inayounganisha dunia,na siku zote ilikua ndoto kwangu kuupeleka muziki na utamaduni kila kona ya ulimwengu nimebarikiwa kushirikiana na Sony music katika hili na lengo la kwanza ni kuwafanya mashabiki na bara zima la Afrika lijivunie" alimaliza Davido huku akimwagiwa sifa lukuki na uomgozi wa Sony Music.

0 comments: