TwitterPinterest Facebook Emailyoutube

Friday, 5 February 2016

0

ALEX TEXEIRA AIMWAGA LIVERPOOL ATIMKIA CHINA

Mshambuliaji
nyota wa klabu ya Shakhtar Donesk ya Ukraine amejiunga na timu ya jiangsu suning na kuwaacha hoi mashabiki wa klabu ya Liverpool ya Uingereza ambao walimkosa mchezaji huyo baada ya ofa yao kukataliwa dirisha la usajili la Januari.

0 comments: