TwitterPinterest Facebook Emailyoutube

Friday, 5 February 2016

0

BEYONCE AMTIMUA KAZI MENEJA WAKE AKIANDAA ALBAMU MPYA

Queen B kama moja ya a.k.a zake Beyonce smemtimua kazi meneja wake wa miaka mingi Lee Anne Callahan-Longo katikamaandalizi ya kutoa albamu mpya lengo hasa ni kuanza na menejiment mpya kuisukuma albamu hiyo iwe kubwa zaidi

0 comments: