TwitterPinterest Facebook Emailyoutube

Tuesday, 2 February 2016

0

BIFU LA KANYE WEST NA WIZ KHALIFA LAMALIZIKA

Ugomvi ulioshika kasi kwenye mitandao ya kijamii siku za karibuni kati ya marapa Kanye West na Wiz khalifa umemalizika baada ya wawili hao kuzungumzu kwa simu na kanye ka tweet kwamba kazungumza na Wiz hvo beef hakuna tena.
Hiyo imekuja baada ya wake zao Amber rose wa Wiz khalifa na Kim Kardashia wa Kanye West kupozi kwa picha ya pamoja na kuirusha kwenye mitandao ya kijamii.

0 comments: