
Producer mwenye heshima kubwa kwenye muziki nchini marekani Swizz beats ambae pia ni mume wa Alicia Keys ameifagilia albamu ijayo ya Kanye West inayotoka february 11 kua ni boonge ya albamu na moja kati ya vitu vya hali ya juu kabisa ambavyo kanye amewahi kufanya,akiongeza kua hiyo itafanya watu wasahau maneno maneno yaliyopo mitaani na kufurahia muziki wa Kanye West.Swizz ni mmoja kati ya watu walioshiriki katika albamu hiyo katika hatua za mwisho
0 comments:
Post a Comment